Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Tanganyika Masele (32), mkazi wa Kisangile, Kata ya Marui, Wilaya ya Kisarawe, kwa tuhuma za mauaji ya mke wake na mtoto wao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa ...
Anti nashindwa kumuelewa mume niliyenaye na hiki kinanipa shida sana. Huu ni mwaka wa sita nipo naye hajawahi kunisifua nikipendeza wala kunikosoa nisipopendeza. Ilimradi tunaishi tu. Huwa naona wivu ...
DAR ES SALAAM; RASMI mwanamitindo Hamisa Mobetto ni mke wa Stephane Aziz Ki ambaye ni kiungo mshambuliaji wa Yanga baada ya ndoa yao kufungwa msikiti wa Mbweni, Dar es Salaam jana. Aziz Ki akiwa na ...
Arusha: Mume wa mwalimu mstaafu aliyefariki dunia kwenye ajali ya gari amesimulia jinsi mkewe, Apaikunda Ayo (61), alivyojipanga kutumia fedha za mafao kununua gari la familia. Simulizi hiyo imetolewa ...