Kocha huyo mpya wa Yanga jana alikuwa jukwaani akishuhudia timu yake mpya ikipata ushindi mnono dhidi ya KenGold inayoburuza mkia kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini akiandika 'dondo' ...
Baada ya kuuteka Goma, mji mkuu katika jimbo la Kivu Kaskazini, wiki iliyopita, kisha kuweka mapumziko wanajeshi wa M23 walianzisha mashambulizi mapya siku ya Jumatano katika jimbo jirani. Mapigano ...
Zaidi ya hayo, maofisa wa mikataba na makubaliano hawataruhusiwa kutoa tuzo mpya au kutoa maombi mapya ya mapendekezo (RFPs), maombi ya maombi (RFAs), taarifa za fursa za ufadhili (NOFOs), au aina ...
BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu imevilia ...
Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol ambaye anakabiliwa na shitaka la uasi. Dar es Salaam. Waendesha mashtaka wa Korea Kusini wamemfungulia mashtaka Rais Yoon Suk Yeol aliyeondolewa madarakani kwa ...