Kocha huyo mpya wa Yanga jana alikuwa jukwaani akishuhudia timu yake mpya ikipata ushindi mnono dhidi ya KenGold inayoburuza mkia kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini akiandika 'dondo' ...
Baada ya kuuteka Goma, mji mkuu katika jimbo la Kivu Kaskazini, wiki iliyopita, kisha kuweka mapumziko wanajeshi wa M23 walianzisha mashambulizi mapya siku ya Jumatano katika jimbo jirani. Mapigano ...
BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu imevilia ...
Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol ambaye anakabiliwa na shitaka la uasi. Dar es Salaam. Waendesha mashtaka wa Korea Kusini wamemfungulia mashtaka Rais Yoon Suk Yeol aliyeondolewa madarakani kwa ...
Pia taerehe 21 mewezi huu huu Januari, makazi matano ya muda yaliharibiwa huko Nzuolo, karibu na Goma, wakati juzi Jumatano, eneo la Bushagara - pia karibu na Goma - "liliathiriwa sana, na kusababisha ...
Dar es Salaam. Wakati Shirika la Ndege la Afrika Kusini (SAA) likirudisha rasmi safari za ndege nchini, historia ya undugu na kukua kwa biashara kati ya nchi hizo mbili kumetajwa kuimarishwa. SAA ...
Matokeo hayo yanaifanya Simba iendelee kusalia kileleni na pointi 28 huku JKT Queens ikiwa nafasi ya pili na pointi 23 na Mashujaa ikisalia nafasi ya tatu na pointi 18. MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ...