Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo, kutokana na ...
Dodoma. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watakapojiridhisha na utoaji huduma, miundombinu na rasilimali watu kwenye maeneo mapya ya utawala ndipo Serikali itatoa vibali vya uanzishwaji ...
Mahakama Kuu ya Tanzania, masjala kuu ya Dodoma imeamuru kuitwa kortini wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Stars (SBS), ili kujibu madai dhidi yao katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa ...
BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu imevilia ...
Raia wanane wa Pakistani wanaodaiwa kusafirisha kilo 477 za heroine na methamphetamine, wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Picha na Hadija Jumanne Dar es Salaam. Wakati Serikali ...
Mapigano mapya yameripotiwa mashariki ya DRC baada ya kipindi cha siku mbili za utulivu, waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda wakiripotiwa kushambulia maeneo ya wanajeshi wa serikali ...
(Sun) Chanzo cha picha, Getty Images Inter Milan iko tayari kufanya mshambuliaji wa Ufaransa Marcus Thuram, 27, mawasiliano mapya ambayo yataondoa kipengele chake cha kuachiliwa cha pauni milioni ...
Tangu mwishoni mwa 2021, kundi hilo limeanzisha mashambulizi mapya, na kukamata maeneo ya kimkakati: Goma (Januari 2025): Januari 27, 2025, wapiganaji wa M23 walitoa taarifa ya kuuteka Jiji la ...
UGANDA: MKUU wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kukabiliana na Ugonjwa wa Ukimwi, Winnie Byanyima, amesema kuwa idadi ya maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi huenda ikaongezeka mara sita zaidi ifikapo ...
Baada ya kuuteka Goma, mji mkuu katika jimbo la Kivu Kaskazini, wiki iliyopita, kisha kuweka mapumziko wanajeshi wa M23 walianzisha mashambulizi mapya siku ya Jumatano katika jimbo jirani. Mapigano ...
Kocha huyo mpya wa Yanga jana alikuwa jukwaani akishuhudia timu yake mpya ikipata ushindi mnono dhidi ya KenGold inayoburuza mkia kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini akiandika 'dondo' ...