NJOMBE: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo ameliagiza Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kukamilisha ...
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo, kutokana na ...
Siku ya Jumanne juma lililopita, wakandarasi na washirika wanaofanya kazi na Shirika la Misaada la Marekani (USAID) nchini Tanzania na Kenya walianza kupokea barua hizo ili kusitisha ufadhili huo ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatoa kipaumbele katika kufikisha umeme kwenye taasisi zinazotoa huduma kwa jamii zikiwemo taasisi za ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Kibali cha samaki Wakati huohuo, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imebaini sheria ndogo iliyotungwa na Halmashauri ya Ludewa mkoani Njombe, imeweka sharti la kuomba kibali ... Wakati Shirika ...