HATIMAYE baadhi ya wachezaji wa Simba wametoa siri ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids, kupenda kuwachezesha wote, badala ya kutegemea kundi la wachezaji fulani kikosini. Wakiwa nchini Angola, ...
WAKATI jumla ya mabao 264 yakifungwa hadi kumalizika kwa mechi za mzunguko wa kwanza, Simba inaonekana ni hatari zaidi kufunga mabao wachezaji wake wanapokuwa ndani ya eneo la hatari, huku Yanga ...
SIMBA imetoa darasa tamu kwa watani wao wa jadi, Yanga baada ya jioni ya leo kushinda mabao 2-0 mbele ya CS Constantine ya Algeria, licha ya kucheza bila ya mashabiki kutokana na kutumikia adhabu ...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya kutangazwa kwa adhabu ya kuizuia Simba kucheza bila mashabiki katika mechi yake ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ...
SIMBA imerudi nchini ikiwa na tiketi yake mkononi ya kucheza robo fainali ya sita kwenye mashindano ya Caf na kwenye msafara wa timu hiyo alikuwemo mfadhili wao wa zamani, Azim Dewji, ambaye ameshuka ...
Kikosi cha Simba kimefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka juzi sare ya kufungana bao 1-1, dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, huku kikiweka rekodi ya kipekee ...
Mwekezaji na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba Mo Dewji, ametoa kauli mbili ndani ya saa chache huihusu klabu hiyo ambayo zimezaa maswali lukuki. Awalia kupitia mitandao yake ya kijamii ...