Mkutano huo unatarajia kukutanisha washiriki zaidi ya 1,000, wakiwemo watunga sera, viongozi wa Serikali kutoka nchi ...
Ametaja baadhi ya athari za mabadiliko ya tabia nchi kuwa ni pamoja na ukame mkali, mafuriko, kupotea kwa viumbe hai, ...
Ujenzi wa kituo kimoja cha kujaza gesi inagharimu kati ya Sh2.1 bilioni hadi Sh2.7 bilioni kulingana na ukubwa na mahitaji ya ...
Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imepanga kufanya mnada wa vitalu 26 vya gesi asilia na mafuta mnamo ...
BODI ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania(TPDC) imesema kituo mama cha kushindilia ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema licha Bara la Afrika kuwa na mchango mdogo katika uchafuzi wa hali ya hewa, nchi za Afrika bado zimekuwa mstari wa mbele katika kuendesh ...
Mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Paul Makanza, ameongoza ukaguzi wa maendeleo ya mradi wa kituo mama cha ujazaji gesi asilia kilichopo Mlimani, Dar ...
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameishukuru Marekani kwa msaada wake kufuatia mabishano makali na Rais wa Marekani Donald Trump katika Ikulu ya Marekani.
Spika wa Bunge la Ukraine amesema kwamba serikali ya Ukraine itaanza kufanyia kazi kwa bidii kuanzia mwanzo wa wiki ijayo ili ...
Wajumbe kutoka mataifa takribani 200 wamekubaliana juu ya mpango wa ufadhili wa ulinzi wa maumbile asili na viumbe hai kwa miaka michache ijayo, kufuatia mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Viumbehai m ...
Hatua hii inajiri siku moja tu baada ya Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye kufanya mazungumza na mwenzake wa Congo Felix ...