Mtume (Rehema na amani zimshukie) amesema: "Kuweni na haya (aibu) ya kweli kwa Allah." Maswahaba wakauliza: "Ewe Mtume wa Allah! Sisi tunayo haya, na tunamshukuru Allah kwa hilo." Akawaambia: "Sio ...