Dar es Salaam. Simba itacheza mechi yake ya Jumapili wiki hii Januari 19, 2025 dhidi ya CS Constantine bila ya mashabiki kufuatia adhabu iliyopewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Adhabu ...
Hakuna namna nyingine ambayo mashabiki wa Yanga na Simba wanachotaka kusikia leo Jumapili zaidi ya timu hizo kushinda ugenini. Unaweza kusema leo ni siku ya hukumu, sio kwa timu hizo tu za Tanzanuia ...