Pia inaweza kuwa ni tabia yake ya mfumo dume ambayo kwa kawaida inaweza kuwa ndivyo alivyolelewa kuwa mwanamke anapaswa kumtii mume kwa kila kitu, hata namna ya kutunza mwili wake. Ukijua nini ...
Anti nashindwa kumuelewa mume niliyenaye na hiki kinanipa shida sana. Huu ni mwaka wa sita nipo naye hajawahi kunisifua nikipendeza wala kunikosoa nisipopendeza. Ilimradi tunaishi tu. Huwa naona wivu ...