Wote walimtaja Mkapa kama mpatanishi na kwa pamoja walizungumzia mchango wake kwenye upatanishi wa mgogoro wa kisiasa wa Kenya uliotokana na Uchaguzi Mkuu wa Desemba mwaka 2007 ulioiweka nchi hii ...
Muda mfupi ujao Simba na Azam FC zitaumana katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili ...
Mkapa pia alihudumu katika nafasi ya Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Canada na Marekani. Pia alikuwa waziri wa Mambo ya Nje katika vipindi viwili tofauti katika utawala wa Nyerere na baadaye ...
Azam ndio imekuwa ya kwanza kufunga bao katika mchezo wa leo kupitia kwa Gibril Sillah katika dakika ya pili ya mchezo ...
Uwanja wa Benjamin Mkapa wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 60,000 umekuwa ukitumika kwa michezo mingi mikubwa na inayohusisha mashabiki wengi zaidi. Simba ipo nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ...
BUNGE limeazimia mambo manne kuhusu Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwamo kuhakikisha ukarabati wake unakamilika ifikapo Aprili, 2025. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Husna Sekiboko ameyasema hayo leo bungeni a ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya dunia ya kusoma Quran Tukufu, yatakayofanyika ...