Dodoma. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watakapojiridhisha na utoaji huduma, miundombinu na rasilimali watu kwenye maeneo mapya ya utawala ndipo Serikali itatoa vibali vya uanzishwaji ...
Mahakama Kuu ya Tanzania, masjala kuu ya Dodoma imeamuru kuitwa kortini wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Stars (SBS), ili kujibu madai dhidi yao katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa ...
BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu imevilia ...
Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) linatarajia kuanza usafirishaji wa mizigo kwa treni ya kisasa ya SGR Aprili 2025, baada ya kufanyika majaribio ya mfumo huo. Hadi sasa, mabehewa 264 ...
Mapigano mapya yameripotiwa mashariki ya DRC baada ya kipindi cha siku mbili za utulivu, waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda wakiripotiwa kushambulia maeneo ya wanajeshi wa serikali ...
Pia taerehe 21 mewezi huu huu Januari, makazi matano ya muda yaliharibiwa huko Nzuolo, karibu na Goma, wakati juzi Jumatano, eneo la Bushagara - pia karibu na Goma - "liliathiriwa sana, na kusababisha ...
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo, kutokana na ...
(Sun) Chanzo cha picha, Getty Images Inter Milan iko tayari kufanya mshambuliaji wa Ufaransa Marcus Thuram, 27, mawasiliano mapya ambayo yataondoa kipengele chake cha kuachiliwa cha pauni milioni ...
UGANDA: MKUU wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kukabiliana na Ugonjwa wa Ukimwi, Winnie Byanyima, amesema kuwa idadi ya maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi huenda ikaongezeka mara sita zaidi ifikapo ...
Kocha huyo mpya wa Yanga jana alikuwa jukwaani akishuhudia timu yake mpya ikipata ushindi mnono dhidi ya KenGold inayoburuza mkia kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini akiandika 'dondo' ...
Kubadilisha aina za nafaka ni rahisi zaidi kwani kila mwaka mazao mapya hupandwa kutoka kwa mbegu. Lakini Shellhammer anafikiri kuwa kubadili aina za hop kunaweza tu kusababisha miaka michache ya ...
Baada ya kuuteka Goma, mji mkuu katika jimbo la Kivu Kaskazini, wiki iliyopita, kisha kuweka mapumziko wanajeshi wa M23 walianzisha mashambulizi mapya siku ya Jumatano katika jimbo jirani. Mapigano ...