Kocha huyo mpya wa Yanga jana alikuwa jukwaani akishuhudia timu yake mpya ikipata ushindi mnono dhidi ya KenGold inayoburuza mkia kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini akiandika 'dondo' ...