Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ameonya kwamba mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaweza ...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji muhimu wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma...
Kundi la waasi la M23 limeibuka na kuteka Mji wa Nyabibwe ulioko kwenye ukingo wa Ziwa Kivu jimbo la Kivu Kusini nchini DRC ...
HALI ya kutisha imeukumba mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya maiti za watu kutapakaa katika ...
Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.
Wakaazi wa Bukavu, mashariki mwa DRC wana wasiwasi, kwani mapigano yamerekodiwa katika mkoa huo wa Kivu Kusini katika siku za ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ukubwa baada ya Kinshasa. Mji huu, uliopo mpakani na Gisenyi nchini Rwanda, ...
Katibu wa jumuiya hii ya kikanda amekumbusha malengo ya misheni hii, yenye lengo la kusaidia DRC katika azma yake ya "amani na usalama" na "kulinda uadilifu wa eneo lake." "Mkutano huo umebainisha ...