Malema alijikuta akifikishwa mahakamani kwa kuimba wimbo huo. Wimbo huo ulitangazwa kama hotuba ya chuki, lakini hukumu hiyo ilibatilishwa baadaye na Mahakama kuu ya Johannesburg, ambayo ilisema ...
Katika hafla ya uzinduzi, Mkurugenzi Mtendaji wa muda wa SAA, Profesa John Lamola, alisema: "Njia hii ya anga si tu hatua muhimu kwa SAA katika kuunganisha Johannesburg na Dar es Salaam, bali pia ...
Bi Samia amesema kuwa hii ni mara ya pili kwa virusi vya maradhi hayo kugunduliwa nchini Tanzania mara ya kwanza vikigunduliwa mnamo mwezi Machi 2023 katika eneo hilohilo la Kagera wilayani Bukoba.
Washtakiwa wanne, wanaokabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine na kutakatisha Sh5 milioni, wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Picha ...
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa Kundi A katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku wachezaji wa timu huo wakitoa msimamo mzito kabla ya kushuka kwenye ...
Mshtakiwa Andrea George akiwa mahakamani muda mfupi kabla ya kukiri kosa na kusomewa hukumu ya kwenda jela miaka 15 kwa kumuua mkewe bila kukusudia. Geita. Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Geita ...