"Nilitokwa machozi ya furaha, sikutarajia jambo hili, maana tulisubiri kwa muda mrefu, lakini wakati wa Mungu ni wakati sahihi, tumshukuru yeye kwa hilo." Haya ni maneno ya Paroko wa Parokia ya Moyo ...
Alipewa daraja takatifu ya upadri Julai 24, 2003 Mahanje, Jimbo Kuu la Songea, kisha aliteuliwa kuwa paroko msaidizi wa Parokia ya Mavurunza kuanzia mwaka 2003 hadi 2004. Alitumwa kwenda kusomea Elimu ...