HATIMAYE baadhi ya wachezaji wa Simba wametoa siri ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids, kupenda kuwachezesha wote, badala ya kutegemea kundi la wachezaji fulani kikosini. Wakiwa nchini Angola, ...
Dar es Salaam. Baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Tabora United, juzi Jumapili, Simba imeamua kuweka kambi ya muda ya siku mbili Dodoma kabla ya kuelekea Babati siku moja ...
SIMBA imerudi nchini ikiwa na tiketi yake mkononi ya kucheza robo fainali ya sita kwenye mashindano ya Caf na kwenye msafara wa timu hiyo alikuwemo mfadhili wao wa zamani, Azim Dewji, ambaye ameshuka ...
Kikosi cha Simba kimefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka juzi sare ya kufungana bao 1-1, dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, huku kikiweka rekodi ya kipekee ...
Baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Tabora United, jana Jumapili, Simba imeamua kuweka kambi ya muda ya siku mbili Dodoma kabla ya kuelekea Babati siku moja kabla ya mechi ...
WAKATI jumla ya mabao 264 yakifungwa hadi kumalizika kwa mechi za mzunguko wa kwanza, Simba inaonekana ni hatari zaidi kufunga mabao wachezaji wake wanapokuwa ndani ya eneo la hatari, huku Yanga ...
alipofungua akaunti yake ya X, ujumbe wa hitilafu ulitokea badala ya mpasho wake wa habari. "Ilishangaza sana kutambua kwamba singeweza tena kupata mitandao ya kijamii ya Tik Tok au X na kwamba ...