"Sasa nikuagize Mganga Mkuu wa Serikali kuhakikisha unashirikiana na timu yako kwenda kuzuia milipuko ya magonjwa ambayo inayohofiwa kuifanya nchi yetu kutajwa na mataifa mengine kuwa ni sehemu ya ...
“Jambo jingine la kutuhakikishia kesho yetu ni kujenga jumuiya ya vijana ya CCM na kuwajenga vijana kiitikadi ili wajue vizuri siasa ya nchi yetu na misingi ya kuanzishwa CCM. Kesho salama ya chama ...
The Kunming-Montreal Global Biodiversity Framework (KM-GBF) is fundamental for achieving the objectives of the Convention on Biological Diversity (CBD) and its protocols and is directly relevant to ...
Hawa sio watalii waliofika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kisha wakaomba uraia wetu kwa ajili ya kuipenda nchi yetu. Hapana. Wamepewa Pasipoti ya Tanzania kwa ajili ya kucheza ...
Mwalimu Sivanzire ambaye anafundisha shule ya sekondari ya Kalemire, amesema hayo akihojiwa na George Musubao wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa ... Lakini imeonekana kwamba nchi yetu imebaki ...
“Grace (Dk Magembe) umekuwa mganga mkuu wa serikali, ni jukumu kubwa kweli kweli na jukumu linalotaka umakini. Naomba haya mambo ya milipuko, milipuko, inayotokea ndani ya nchi yetu uende ukaisimamie ...
“Nakukaribisha mweyekiti mstaafu, Mbowe katika ustaafu na kukuhakikishia kuwa kuna mengi ya kufanya nje ya siasa za uongozi katika kazi kubwa iliyo mbele yetu ya kujenga na kustawisha demokrasia ya ...
Akizungumzia kuhusu uzinduzi wa mradi wa SOFF “SOFF - Investment Phase Project”, Majaliwa amesema mradi huo una umuhimu mkubwa siyo tu kwa kukidhi mahitaji ya data za hali ya hewa na tabianchi kwa ...