"Si wanajeshi wote waliweza kukimbia," mkazi wa eneo hilo anaelezea. "Baadhi walitupa bunduki zao na kujiunga na wenyeji ambako wanaishi kwa ujirani." Lakini Freddy Mukuza alikuwa raia – baba ...
Zaidi ya nusu ya watu wazima wote na theluthi moja ya watoto, vijana, duniani wanatarajiwa kuwa na uzito mkubwa au unene kupita kiasi ifikapo mwaka 2050. Matokeo haya yanatokana na utafiti mpya wa ...
Katika kuelekea siku ya kimataifa ya wanawake ambayo huadhimishwa kila mwaka Machi 8 leo hapa katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kunafanyika hafla maalum ya kuadhimisha siku hiyo ambayo mwaka huu ...
Arusha/Dar. Wakati Watanzania wakisubiri kwa hamu kuanza utekelezaji wa mpango wa bima ya afya kwa wote, Rais Samia Suluhu Hassan ametaja hatua iliyofikiwa katika mchakato huo, akieleza ni jambo zito.