Ametaja baadhi ya athari za mabadiliko ya tabia nchi kuwa ni pamoja na ukame mkali, mafuriko, kupotea kwa viumbe hai, ...
Moshi amesema kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kutakuwa na vituo viwili vya kujaza gesi kwenye magari vitakavyoongezeka ...
Ujenzi wa kituo kimoja cha kujaza gesi inagharimu kati ya Sh2.1 bilioni hadi Sh2.7 bilioni kulingana na ukubwa na mahitaji ya ...
BODI ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania(TPDC) imesema kituo mama cha kushindilia ...
Mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Paul Makanza, ameongoza ukaguzi wa maendeleo ya mradi wa kituo mama cha ujazaji gesi asilia kilichopo Mlimani, Dar ...
Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imepanga kufanya mnada wa vitalu 26 vya gesi asilia na mafuta mnamo Machi 5, mwaka huu, katika Ukumbi wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, ...
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameishukuru Marekani kwa msaada wake kufuatia mabishano makali na Rais wa Marekani Donald Trump katika Ikulu ya Marekani.
Wajumbe kutoka mataifa takribani 200 wamekubaliana juu ya mpango wa ufadhili wa ulinzi wa maumbile asili na viumbe hai kwa miaka michache ijayo, kufuatia mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Viumbehai m ...