Shughuli za kuzima moto Mlima Kilimanjaro bado zinaendelea mpaka leo Ijumaa ikiwa ni siku ya sita toka ulipolipuka siku ya Jumapili. Kilimanjaro ndiyo mlima mrefu zaidi barani Afrika, na upo ...
Mamlaka nchini Tanzania inaendelea kukabiliana na moto mkali katika mlima Kilimanjaro kwa siku ya pili. Moto huo ulianza usiku wa kuamkia leo katika miteremko ya Mlima Kilimanjaro kutokana na ...