Siasa za msitu wa Mau nchini Kenya zimejitokeza tena. Kwa zaidi ya miaka 20, Serikali mbali tofaiti za Kenya zimeshindwa kulisuluhisha swala hili. Sababu kuu zimekuwa za kisiasa. Kwa sasa ...
Maelezo ya picha, Rashamba Debola, wa kabila la Ogiek anasema "nilizaliwa katika msitu wa Mau, nikaolewa hapa kitamaduni, nikazaa hapa, na nikamzika mume wangu katika msitu huu." 26 Mei 2017 ...