资讯

Siasa za msitu wa Mau nchini Kenya zimejitokeza tena. Kwa zaidi ya miaka 20, Serikali mbali tofaiti za Kenya zimeshindwa kulisuluhisha swala hili. Sababu kuu zimekuwa za kisiasa. Kwa sasa ...
Jamii ya kabila hilo la jadi la Ogiek ni ndogo na inajumuisha wawindaji wanaoishi katika msitu wa Mau katika mkoa wa bonde la ufa Kenya. Jamii hiyo iliwasilisha kesi dhidi ya serikali ya Kenya ...