Mbunge wa eneo la Ludewa aliyekuwa anamaliza muda wake, amefariki kwenye ajali ya ndege iliyotokea Alhamisi. Bw Deo Filikunjombe alikuwa safarini kutoka jiji la Dar es Salaam kuelekea jimbo lake ...