King Kaka amabye jina lake halisi ni Kennedy Ombina, mwishoni mwa juma alitoa video ya wimbo aliouta 'Wajinga Nyinyi', akikosoa maovu miongoni mwa jamii ya Wakenya. Katika wimbo huo amewatuhumu ...