Asilimia 98 ya wakaazi wa kisiwa hicho ni Waislamu. Zanzibar hujulikana kama kisiwa cha karafuu kutokana na wingi wa zao la karafuu . Wakati Waarabu wa Omani walipokiteka kisiwa cha Mombasa kutoka ...
Kisiwa kidogo cha Pemba katika bahari ya Hindi, kilikuwa ndio walimaji wakubwa wa karafuu duniani kwa miaka na mikaka. Hivi karibuni, nafasi hiyo hivi karibuni imechukuliwa na Indonesia.