Mwanamuziki nyota kutoka Tanzania Diamond Platnumz amefafanua kilichotokea kati yao na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) hadi wakaruhusiwa kuondoka nchini humo kwenda Kenya kutumbuiza. Diamond ...
Mwanamuziki nyota kutoka Tanzania Diamond Platnumz ametofautiana na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kuhusu kilichotokea hadi akaachwa na ndege uwanjani mwanza. Mwanamuziki huyo anasema tamko ...