Tanzania na Rwanda zimepiga marufuku uingizaji, usambazaji na utumiaji wa simu za Samsung aina ya Galaxy Note 7. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya visa vya simu hizo kulipuka na kushika moto ...