Watu wengi tunapenda chakula kizuri chenye viungo, na licha ya viungo kuwa ghali katika baadhi ya maeneo – watu hawaachi kutoa pesa na kuagiza bila ya pengine kujua manufaa makubwa yaliyomo.
Chanzo cha picha, Maabara ya utafiti wa vijusi, Chuo kikuu cha Durham Kulingana na utafiti mpya uliofanywa nchini Uingereza uliowashirikisha wanawake 100 wajawazito na watoto wachanga, watoto ...